Serikali yatoa tamko kufuatia tukio la Mwalimu kumchapa mwanafunzi viboko hadi kumuua ‘hajatumwa, ile bahati mbaya’
Serikali imetoa tamko lake kwa mara ya kwanza tangu litokee tukio la mwalimu wa shule ya msingi ya Kibeta iliyopo Manispaa ya Bukoba mkoan...


