Infantino amkabidhi jezi Trump, wakati rais wa taifa hilo kubwa duniani akionyesha kadi nyekundu

IF YOU ARE 18 YEARS CLICK BELOW TO WATCH AND DOWNLOAD FULL VIDEO

Wednesday, August 29, 2018

Infantino amkabidhi jezi Trump, wakati rais wa taifa hilo kubwa duniani akionyesha kadi nyekundu

Rais wa Shirikisho la soka duniani (FIFA),  Gianni Infantino amekutana na kufanya mazungumzo na Donald Trump kuhusiana na maandalizi ya michuano ya kombe la dunia mwaka 2026 ambayo taifa la Marekani likiwa mwenyeji kwa kushirikiana na Canada pamoja na Mexico.
Infantino alimkabidhi rais wa taifa hilo la Marekani, Trump jezi yenye jina zenye jina lake na kumkabidhi kadi mbili nyekundu na njano.
Trump ameonekana kufurahishwa mno na kikao hicho alichofanya na rais wa FIFA huku Infantino akimtania kwa kumuambie atafute rangi ya kadi itakayotumika zaidi kwenye michuano hiyo.
Share :
Facebook Twitter Google+

 

Back To Top